Friday, 12 February 2016

MADIBIRA SEKONDARI CHINI YA MWL NDANZI KAMA MKUU WA SHULE 2006-2016

          

        MADIBIRA SEKONDARI, 

       MAKUBWA ALIYOFANYA 

            MWL M.P.NDANZI

             KITAALUMA

Image result for madibira sekondari
                          mwl ndanzi
        MWAKA 2006, mwalimu aliye kuwa akishikilia nafasi ya umakamu mkuu wa shule(mwl Ndanzi) alikabidhiwa kijiti cha ukuu wa shule. kijiti hicho alikipokea kutoka kwa mwl Sanga aliye staafu mwaka huo, wakati anakabidhiwa nafas hiyo shule ilikuwa na rekodi mbalimbali;zifuatazo ni baadhi ya taarifa zilizo kuwepo na namna alivyo ziboresha na matokeo yake.

                                          
       Wakati anaanza kushikilia nafasi hiyo shule ilikuwa nyuma kitaaluma kwani wastani mdogo wa wanafunzi kwenda kidato tano na sita.kabla ya hapo mwanafunzi mmoja au wawili tu ndio walio fanikiwa kwenda advance.mwaka 2006 wanafunzi walioenda advance ni wengi kidogo, ingawa idadi hiyo ilipungua mwaka 2007 ambapo mwanafunzi mmoja tu(Hamis Nyove) ndiye pekee aliye fanya vizuri.mwaka 2008(09)angalia http://www.matokeo.necta.go.tz/CSEE2008/s1148.ht
 , mwaka 2009 wanafunzi(09)
 http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo_html/csee2009/s1148.htm
, mwaka 2010(07) 
 http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2010/csee2010/s1148.htm
,mwaka 2011(03-Vitalis Msungwite,Vasco Katemo na Justine Kalinga)
 http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2011/csee2011/s1148.htm
,mwaka 2012(09)
 http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo_html_2013/CSEE_2012/s1148.htm
mwaka 2013(21)
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo_html_2013/CSEE_2012/s1148.htm
 na mwaka 2014(29) 
 
http://www.necta.go.tz/matokeo/CSEE2014/s1148.htm.  
         Chini ya uongozi wake ndipo shule ilianza kupokea vijana wa kidato cha tano na sita ambao nao wanafanya vema mpaka sasa walio enda vyuoni ;matokeo yao mwaka 2012(52-wote)
 http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2012/ACSEE2012/s1148.htm
,mwaka 2013(41)
            Image result for madibira sekondari
 http://maktaba.tetea.org/exam-results/ACSEE2013/s1148.htm
,2014(29-wote akiwemo na Vitalis Msungwite na Justine kalinga)
 

 http://www.necta.go.tz/matokeo2014/ACSEE2014/s1148.htm
,2015( wote)
http://necta.go.tz/matokeo/2015/ACSEE2015/s1148.htm
  Chini ya uongozi wake tumeshuhudia ujenzi wa maabara ya kisasa shuleni hapo.
           Image result for madibira sekondariImage result for madibira sekondari        
                                          muonekano wa maabara kwa ndani

Amefanikisha ufunguaji wa maktaba kwa msaada wa walimu wa kujitolea kutoka Marekani wa maktaba ambayo ina msaada mkubwa kwa wanafunzi

  Image result for madibira sekondariImage result for library

         mafanikio mengine

kununua powertiller ya shule

        Image result for greaves power tiller

ujenzi wa tenki la maji na jiko

     Image result for tank la maji

ujenzi wa bweni 2006

 Image result for madibira sekondari 

ukarabati nyumba za walimu

 Image result for nyumba

ununuzi wa mitambo ya kuchapia na kutolea nakara mitihani 

 Image result for printerImage result for photocopier machineImage result for computer

kuweka miundo mbinu ya uvunaji wa maji ya mmvua

Image result for madibira sekondari 

   

No comments:

Post a Comment