MADIBIRA YAPATA UMEME
madibira ni moja ya maeneo muhimu nchini hasa kutokana na uzalishaji wa mpunga kama yalivyo maeneo mengine ya wilaya ya mbarali.wafanya biashara kwa muda mrefu wamekuwa wakitumia mashine za diesel kuzalisha umeme ambao walilazimika kulipa sh 3000 kwa masaa7-9 sawa na sh 9000 kwa mwezi.
mafundi wakiwa kazini
kwasasa wamefungiwa nyaya za umeme sambamba na kuunganishiwa majumbani kwa baadhi ya vijiji tayari kwaajili ya kutumia siku za hivi karibuni
nyaya kuelekea madibira zikionekana toka maeneo ya nyakazombe
m
maeneo muhimu ya kuinufaisha jamii ya madibira ni kituo cha afya,mashuleni, mashine ya kukoboa mpunga iliyopo mamcos ltd na kwenye benk zilizopo hapa
.
hata hivyo ni vema iwapo wananchi nwatapewa elimu ya matumizi ya umeme ili kuepusha ajali zitazo weza kujiyokeza kama inavyotokea maeneo mbalimbali duniani
ajali zilizotokana na umeme duniani
No comments:
Post a Comment